USAILI MPYA 2023/2024

Ndugu mzazi/mlezi shule ya msingi na chekechea DAILYLIFE tumefungua dirisha la usaili kuanzia:-

 • Chekechea (Nursery)
 • Darasa la kwanza 
 • Na wanaotaka kuhamia  kuanzia DRS I-VII

kwa mwaka wa masomo 2023/2024 ,nyote mnakaribishwa  sababu 

 1. Shule ina mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia 
 2. Usafiri upo wa uhakika wa kumtoa mwanao nyumbani mpaka shuleni na kumrudisha pia 
 3. Ulinzi na usalama wa mtoto ni wa uhakika 
 4. Shule pia ina huduma ya bweni kwa wanaotaka kuhamia kwa wanaotoka mikoani (BORDING SCHOOL)
 5. Shule ni ya mchepuo wa kiingereza na ni ya  mchanganyiko yaani wavulana na wasichana pia haibagui dini
 6. Maji na vyakula bora vipo na vya kutosha 
 7. Walimu wabobevu kwenye maswala ya ufundishaji na ujifunzaji  wapo  wakutosha 
 8. Ada zetu zinalipwa kwa awamu 

Mnakaribishwa sana dailylifeschools!

By daily

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Language »